Kampuni za Uhasibu Zilizosajiliwa

Kwa mujibu wa masharti ya Kifungu cha 8 (2) cha sheriaya uhasibu na wakaguzi (usajili) [ Sura ya 286 R.E 2002], Mkurugenzi, mtendaji wa NBAA anatakiwa kuchapisha orodha ya kampuni za uhasibu zilizosajiliwa; Uchapishaji utakaofanywa chini ya sharti hili ni uthibitisho kuwa watuau kampunizilizotajwa humo zimesajiliwa chini ya sheriahii.

Kwa hiyo ni kosachiniya kifungu cha 29 kuajiri mtu yoyote au kampuni ambaye hakusajiliwa na Bodi.

Umma kwa jumla na Kampuni za utoaji. Taarifa wanatakiwa kuthibitisha na NBAA kabla ya kuwaajiri watu hao ili wasikiuke masharti ya sheria.

Bofya HAPA kupata orodhaya kampuni za ukaguzi zilizosajiliwa zinazotambuliwa na NBAA kama iliyokuwa 1 February, 2018.