Kampuni za Ukaguzi Zilizosajiliwa

Kwa mujibu wa masharti ya kifungu cha 8(2) cha Sheria ya wahasibu na wakurugenzi (usajili) [ sura ya 286 RE 2002], Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA anatakiwa kuchapisha orodhaya kampuni za ukaguzi. Uchapishaji unaofanywa chini ya sharti hili ni uthibitisho kuwawatu hao au kampuni zilizotajwa humo wanasajiliwa chini ya sheria hii.

Kwa hiyo ni kosachini ya kifungu cha 29 kumwajiri mtu yeyote au kampuni ambayehakusajiliwa na Bodi. umma kwa jumlaya kampuni za utoaji Taarifa anatakiwakuthibitisha na NBAA kabla ya kumuajiri watu hao ili wasikiuke masharti ya sheria.

Bofya HAPA kupata orodha ya kampuni za ukaguzi zilizosajiliwa zinazotambuliwa naNBAA kama ilivyokuwa 1 February, 2018.