Mafunzo kwa Waweka Hazina/Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Serikali za Mitaa

Mahali

Mwalimu Nyerere Hall, Institute of Rural Development Planning (IRDP) - Dodoma

Tarehe

2019-05-29 - 2019-05-31

Muda

08:00am - 04:00pm

Madhumuni

Kuimarisha uwezo wa Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani katika usimamizi wa fedha za Umma pamoja na kuchochea uwajibikaji katika taaluma.

Ujumbe wa Shughuli

Mafunzo kwa Waweka Hazina/Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Serikali za Mitaa

Washiriki

Waweka Hazina, Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Serikali za Mitaa

Ada ya Semina

Tshs. 400,000

Simu

+255-26-2963318-9

Barua pepe

info@nbaa.go.tz