Taarifa ya mwaka ya CPD

Wanachama wote wa NBAA wanatakiwa kutayarisha taarifa ya CPD ya mwaka (Januari hadi Desemba). Taarifa ya mwaka ni lazima itayarishwe kwa kukamilisha fomu ya taarifa ya mwaka.

Bofya hapa kupata fomu