Kalenda ya CPD

Lengo la CPD ni kuwasaidia Wahaisbu wataalamu kuendeleza weledi wa kitaalamu kutoa huduma za kiwango cha juu kwa manufaa ya umma.

Kukidhi changamoto endelevu zinazoikabili uchumi wa dunia, NBAA inawahakikisha wanachama wake kuzingatia weledi wa kitaalamu kupitia program ya CPD

Bofya hapa kuangalia kalenda ya CPD