Maktaba

Maktaba ya NBAA ilianzishwa mwaka 1975 kutoa nyenzo zakujifunza kwa watahini wa wanaojiandaa kwa mtihani ya Bodi .


Dirana Dhamira ya Maktaba

Diraya mkataba ni kuwa mtoa huduma za taarifa za uhasibu na ukaguziinayoongoza nchini.
Dhamiraya maktaba ni kutoa huduma bora zinazotosheleza mahitaji ya taarifa kwa ajili ya kujifunza, kufundisha, utafiti, mafunzo na kazi ya ushauri ya watumiaji wetu wa mwisho nchini Tanzania.


Malengo ya Maktaba


Malengo ya maktaba ni :


Kujenga mkusanyiko mahususikutimiza mahitaji ya taarifa ya wanafunzi, walimu na watafitina kutoataarifa za hivi karibuni na huduma ya haraka kwa watumiaji.
Kutoa huduma na utaalamu uliokusudiwahasa kuhimiza matumizi yenye ufanisi ya rasilimali za maktaba na taarifa zikiwemo ufundishaji wa stadi zaushugulikaji wataarifa zinazohawilishika.
Kuwa mstari wa mbele katikateknolojia za habari za kisasa na kupitia teknolojia hiyo si kutoa taarifa za hivi karibuni kwa kushirikiana na kuhusiana Maktaba Maalumu kuhusu uhasibu, ukaguzi na masomo, shirikishi. Mktaba ina takribani machapisho 10,000 hasa ya vitabu, majarida machapisho ya Serikali, makala za waishe, semina na nyraka zinazohusiana.

Hifadhi yaNyaraka

Makala na Mawasilisho

Huduma za mkataba

Maktaba inatoa taarifa halisi na za kieletroniki zinazozingatia uhasibu, ukaguzi na masomo shirikishi.

Maktaba inatoa huduma za marejeo kwa Umma, upashaji , taarifa za kisiasa, kuvinjari , intaneti , utafutaji wa katalogi la maktaba kwa kutumia remote na upataji wa maktaba ya kweli.

Watumiaji wa makataba zaidi ya wanafunzi wa NBA Ana wanachama hulipa 2000 kwa siku mpaka saa 10:00 alasiri na 5000 mpaka saa 4:00 usiku katika mihula mirefu. Maktaba iko wazi kwa umma wote.

Maktaba inakuwa wazi kuanzia 03:00 asubuhi mpaka saa 10:00 alasiri, Jumatatu mpaka Ijumaa wakati wa maandalizi ya mitihani, maktaba hufunguliwa kuanzia 3:00 asubuhi mpaka 4:00 usiku Jumatatu mpaka Ijumaa na saa saa 3:00 asubuhi mpaka saa 10:00 alasiri Jumamosi. Siku za mwisho wa wiki na sikukuu maktaba hufungwa. Huduma za mtandaoni hupatikana kwa saa 24 kwa siku,siku saba kwa wiki (24/7).

Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia library@nbaa.go.tz au info@nbaa.go.tz