Mwongozo wa CPD

Mwongozo wa CPD unatoa maelekezo kwa wanachama kuhusu jinsi ya kudumisha na kuendeleza stadi na maarifa kuhakikisha wanaendelea kufanyakazi kwa ufanisi kama wataalamu. NBAA inatarajia wanachama wote watashiriki kwenye program za CPD ili kutimiza masharti ya taaluma.

Kwa hiyo muhimu kwa wanachama wote wa NBAA azingatie dhana ya kujifunza maisha na kufuata mwongozo wa CPD.

Bofya HAPA kupata mwongozo wa CPD