Mambo ya Nidhamu

Taratibu za nidhamu za NBAA zinashughulikia kushindwa kufuata viwango vilivyowekwa vyamwenendo wa kitaalamu na uvunjaji wa kanuni inayojumuisha mwenendo unaweza kushusha hadhi ya NBA Ana taaluma ya uhasibu na inayoweza kusababisha kero kwa umma.

Bofya HAPA kuangalia hatua za nidhamu zinazochukuliwa dhidi ya mwanachama wa NBAA (kampuni + mtu mmoja mmoja).