Accounting Technician (AT)

Kwa usajili wenye mafanikio kwenye kundi hili, mtu anatakiwa kujaza fomu ya maombi iliyopo kwenye tovuti na ambatisha yafuatayo:

  • Nakala ya cheti cha Bodi cha Accounting Technician (ATEC) au kinachofanananacho.
  • Uthibitisho wa kupata uzoefu kwa vitendo unaotakiwa katika uhasibu (maelezo ya mwajiri).
  • Uthibitisho wa malipo ya ada ya maombi isiyorudishwa na
  • Mhasibu mtaalamu mmojakuwa mdhamini.

Mwombaji aliyefanikiwa ataarifiwa baada ya idhini ya Bodi ya Utawala na kupewa cheti cha uanachama.