Matokeo ya Mitihani - Mei 2019

Matokeo ya mtihani wa NBAA wa Mei 2019

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Alhamisi 27, June, 2019 chini ya Mwenyekiti wake Pro. Isaya Jairo , ilithibitisha matokeo ya mitihani

ya NBAA ya muhula wa 89 iliyofanyika Mei, 2019. Kupitia ukurasa wa tovuti hii utaweza kuvinjari General examination Statistics with Results list na orodha ya watahiniwa waliofuzu kwa ajili ya CPA (T) , CPA (T) Equivalent na Accounting Technician Certificate (ATEC). Ripoti za Examiners' na Performance pamoja na Institutional Performance zinaweza kuangaliwa ambapo wakufunzi wa wanafunzi wanatakiwa kusoma kwa makini mapendekezo ya jopo la watahiniwa, kama ilivyofafanuliwa kwenye ripoti.

Orodha ya matokeo