Muundo wa Ada
Muundo wa ada za NBAA ni kama ufuatao:-
Na. | Maelezo Hatua ya mtihani | Ada | ||||||||||
1. | Ada za mitihani (Somo moja) Kitabu hatua ya ATEC = 30,000. Kitabu hatua ya Kitaaluma = 40,000 NB: Ukirudia somo haulipii kitabu | ATEC I Kurudia somo | Tshs. 55,000.00 Tshs. 25,000.00 | |||||||||
ATEC II Kurudia somo | Tshs. 60,000.00 Tshs. 30,000.00 | |||||||||||
Hatua ya awali (Foundation) Kurudia somo | Tshs. 100,000.00 Tshs. 60,000.00 | |||||||||||
Hatua ya kati (Intermediate) Kurudia somo | Tshs. 130,000.00 Tshs. 90,000.00 | |||||||||||
Hatua ya mwisho (Final) Kurudia somo | Tshs. 150,000.00 Tshs. 110,000.00 | |||||||||||
2. | Ada za msamaha (Somo moja) | ATEC I ATEC II Hatua ya awali (Foundation) | Tshs. 15,000.00 | |||||||||
Tshs. 20,000.00 | ||||||||||||
Tshs. 30,000.00 | ||||||||||||
3. | Ada ya usajili katika kila hatua ya mtihani | ATEC I | Ada ya Fomu -Tshs. 20,000.00 Ada ya usajili -Tshs. 25,000.00 Mchango wa mwaka -Tshs. 35,000.00 Jumla -Tshs. 80,000.00 | |||||||||
ATEC II | Ada ya fomu -Tshs. 20,000.00 Ada ya usajili -Tshs. 25,000.00 Ada ya msamaha -Tshs. 45,000.00 Mchango wa mwaka-Tshs. 35,000.00 Jumla – Tshs. 125,000.00 | |||||||||||
Hatua ya awali (FOUNDATION LEVEL) | Ada ya fomu -Tshs. 20,000.00 Ada ya usajili -Tshs. 50,000.00 Ada ya msamaha. – Tshs. 105,000.00 Mchango wa mwaka - Tshs. 70,000.00 Jumla –Tshs. 245,000.00 | |||||||||||
Hatua ya kati (INTERMEDIATE LEVEL) | Ada ya fomu -Tshs. 20,000.00 Ada ya usajili - Tshs. 50,000.00 Ada ya msamaha -Tshs. 205,000.00 Mchango wa mwaka -Tshs. 70,000.00 Jumla-Tshs.345,000.00 | |||||||||||
4. | Michango ya mwaka | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs. 35,000.00 Tshs.70,000.00 | |||||||||
5. | Uandaaji wa nakala ya matokeo (Transcript) kwa kila hatua ya mtihani | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs. 35,000.00 Tshs. 40,000.00 | |||||||||
6. | Uandaaji wa barua ya utambuzi (letter of Recommendation kwa kila hatua ya mtihani | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs.10,000.00 | |||||||||
7. | Kutengeneza kitambulisho kilichopotea/kilichoisha muda wake | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs. 20,000.00 | |||||||||
8. | Uhakiki wa cheti | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs. 20,000.00 | |||||||||
9. | Barua ya matokeo | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs. 15,000.00 | |||||||||
10 | Kukata rufaa (kwa somo) | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs.160,000.00 | |||||||||
11 | Ada ya utafutaji/uchunguzi | ATEC Taaluma (Professional) | Tshs.25,000.00 | |||||||||
12 | Jalada la cheti | Wahitimu wote | Tshs. 20,000.00 | |||||||||
13 | Uchelewaji wa kuchukua cheti | Hatua zote | Tshs. 20,000.00@ ikizidi miezi sita baada ya mahafali | |||||||||
14 | Mitihani ya Muhula wa kati | A5 Business Law B4 Public Finance & Taxation I C4 Public Finance & Taxation II | Tshs. 450,000.00 Tshs. 500,000.00 Tshs. 550,000.00 | |||||||||
15. | Raia wa kigeni | Atatozwa mara mbili ya ada ya raia wa Tanzania kasoro kwa mitihani ya muhula wa kati na itakuwa kwenye fedha za kideni (Dola ya Marekani) | ||||||||||
16. | Faini | Faini kwa kutokuleta maombi mapema: Faini itatozwa kwa maombi yatakayocheleweshwa kwa kipindi cha mtihani uliokusudiwa kama ifuatavyo:
|