Mapitio ya Ubora wa Ukaguzi

Bodi imejiandaa kuanda, kutekeoleza jitihada mbalimbali zitakazosaidia ufuatiliajiufuatiliaji wa ubora wa kazi ya kitaalamu ya wanachama wake. Mojawapo ya jitihada hizo ni mfumo wa mapitio ya ubora wa ukaguzi kwa wanachama wake wanaofanyakazi umekusudiwakutoa utaratibu wa kutadhmini kuwapo na ufanisi wa sera za udhibiti wa ubora na taratibu za shughuli zilziofanywa na kampunina kampunizilizosajiliwa.