Vituo vya mtihani na mihula

Vituo vya mtihani

Bodi inaendesha mitihani yake kwenye vituo mbalimbali vya mtihani nchini ikiwemo Songea, Arusha, Dodoma, Mbeya, morogoro , Moshi, Tanga, Zanzibar, Mwanzana DarEs Salaam,alimradi kituoinausajili idadiya watahimiwa inaotakiwana Bodi kwa sasa idadi ya chini ya watahiniwa wanaowezesha kituocha mtihanikufanyakazi ni 30.

Mihula ya mtihani

Bodi inatekeleza mojawapo ya majukumu yake yakuhamasishana kutoa fursa na nyenzo za kujifunza na mafunzio ya uhasibu, ukaguzi wa mafunzo shirikishi, imekuwa ikendesha mitihani ya uhasibu kwa wale wanaotaka kuwaAccounting Technicians na CertifiedPublic Accountants. Mitihani hii inaendeshwambili kwa mwaka katikamiezi ya Mei na Novemba.

Kwa maelezo zaidi kuhusu masomo ya mitihani ya Mid-Sessions tafadhali bofya hapa