Muundo wa Mitihani na Fomu

Muundo wa mtihani na Fomu

Mpango wa mtihani wa Accounting Technician

Muundo huu wa mpango wa mtihani wa Accounting Techinician una ngazi mbili, ATEC I na ATEC II.

ATEC I ina masomo manne na ATEC II nayo ina masomo manne.

Masomo yanayotahiniwa katika mitihani hii ni :

ACCOUNTING TECHNICIAN LEVEL I (Pakua Hapa)

Exam code na.

JIna la Somo

T01

Book Keeping and Accounts

T02

Elements of Business Mathematics and Statistics

T03

Introduction to Information and Communication Technology

T04

Business Communication Skills


ACCOUNTING TECHNICIAN LEVEL II (Pakua Hapa)

Exam code na.

JIna la Somo

T05

Principles of Accounting and Auditing

T06

Principles of Cost Accounting and Procurement

T07

Elements of Commercial Knowledge and Taxation

T08

Accounting for Public Sector and Cooperatives


Akifanikiwa kumaliza AccountingTechnician Level II, mtahiniwa atapewa cheti cha kumaliza mtihani ya Accounting Technician na atastahili kusajiliwa kama AccountingTechnician.

Mpango wa mtihani wa Proffesional

Muundo wa mtihani kwa mpango wa mtihani wa Proffesional unangazi tatu; ngazi ya foundation, ngazi yaintermediate na ngazi ya mwisho ngazi ya foundation – (Knowledge and skills ) (Pakua fomu)

Foundation Level - (Knowledge and Skills) - (Pakua Hapa)

Exam code na.

JIna la Somo

A1

Quantitative Techniques

A2

Business and Management

A3

Financial Accounting

A4

Cost Accounting

A5

Business Law

A6 Business Economics

Intermediate Level - (Skills and Analysis) (Pakua Hapa)

Exam code na.

JIna la Somo

B1

Financial Management

B2

Financial Reporting

B3

Auditing Principles and Practice

B4

Public Finance and Taxation

B5

Performance Management

B6

Management, Governance and EthicsFinal Level - (Analysis, Application and Evaluation) (Pakua Hapa)

Exam code na.

JIna la Somo

C1

Corporate Reporting

C2

Auditing and Assurance Services

C3

Business and Corporate Finance

C4

Advanced Taxation


Akifanikiwa kumaliza mtihani ya ngazi ya mwisho mtahiniwa atapewa cheti cha kumaliza mitihani yaCertified Public Account – CPA (T) na atastahili kusema Mhasibu Aliye aliyehitimu.