Matokeo ya Mitihani – Novemba 2024

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 19, Disemba, 2024 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 100 iliyofanyika Novemba 2024.

Orodha ya matokeo