Matokeo ya mtihani
1.Matokeo ya mitihani ya NBAA ya Novemba 2018
Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Alhamisi tarehe 28 Juni, 2018 chini ya Mwenyekiti wake CPA Prof. Isaya Jairo, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 88 iliyofanyika Novemba, 2018. Kupitia ukurasa wa tovuti hii utaweza kuvinjari General examination Statistics with Results list na orodha ya watahiniwa waliofuzu kwa ajili ya CPA (T) , CPA (T) Equivalent na Accounting Technician Certificate (ATEC). Ripoti za Examiners' na Performance pamoja na Institutional Performance zinaweza kuangaliwa. Wakufunzi na wanafunzi wanatakiwa kusoma kwa makini mapendekezo ya jopo la watahiniwa kama ilivyofafanuliwa kwenye mtiririko wa ripoti za matokeo.