Matokeo ya Mitihani - November 2019

Matokeo ya mtihani wa NBAA wa Novemba 2019

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake wa Jumatatu 23 Desemba, 2019 chini ya Mwenyekiti wake Pro. Isaya Jairo , ilithibitisha matokeo ya mitihani

ya NBAA ya muhula wa 90 iliyofanyika Novemba, 2019. Kupitia ukurasa wa tovuti hii utaweza kuvinjari General examination Statistics with Results list na orodha ya watahiniwa waliofuzu kwa ajili ya CPA (T) , CPA (T) Equivalent na Accounting Technician Certificate (ATEC). Ripoti za Examiners' na Performance pamoja na Institutional Performance zinaweza kuangaliwa ambapo wakufunzi wa wanafunzi wanatakiwa kusoma kwa makini mapendekezo ya jopo la watahiniwa, kama ilivyofafanuliwa kwenye ripoti.

Orodha ya matokeo

ATEC I

ATEC II

Foundation Level

Intermediate Level

Final Level

CPA List

CPA Equivalent List

ATEC List